Sunday, July 29, 2012

Tazama Yanga katika picha waki shangilia ubingwa wa Kombe la Kagame 2012

Kikosi cha Yanga kilicho tetea ubingwa wa kagame

Saidi Bahanuzi mfungaji bora wa mashindano ya kombe la Kagame 2012

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli na mashabiki wao

Ubao wa matangazo wa uwanja wa Taifa ukionyesha matokeo ya mchezo

Ally Mustapha akiudaka mpira

Kocha wa Yanga TOM Santfiet kulia na kocha wa Azam Sittwart Hall kushoto wakizungumza baada ya mechi

Wachezaji wa Yanga wakishangilia ubingwa wa Kagame 2012

Wachezaji wa Yanga wakishangilia Ubingwa wao baada ya kuilaza Azam magoli 2-0

Wachezaji wa Yanga wakiwaonyesha mashabiki ubingwa wa kagame

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Said Meki Sadik akimkabidhi nahodha wa Yanga Nadir Haroub ubingwa wa Kombe la Kagame

Agrey Moris wa Azam na Hamis Kiiza wa Yanga wakigombania mpira

wachezaji wakikimbiza kombe la kagame
Picha kwa hisani ya mitandao mbalimbali

No comments:

Post a Comment