Thursday, July 19, 2012

 Zoezi la uokoaji linaendelea 113 hawajulikani walipo

polisi wakiokoa majeruhi
 Uokoaji unaendelea katika Meli ya MV Seagull(SKAGIT) mpaka sasa Maiti 31 zimepatikana,146 wamenusurika,113 BADO WANATAFUTWA
No comments:

Post a Comment