Saturday, May 4, 2013

Mwenyekiti wa Nccr-Mageuzi ajiuzuru-ngara

Na Veronica Alfredi kutoka Ngara

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha NCCR mageuzi wilayani Ngara Mkoani Kagara bw. Kenedi Staford juzi alitanagaza kiujiudhuru uanachamawa chama hicho ikiwa ni pamoja na nafasi zote za uongozi katika chama hicho

Akikabidhi barua ya kujiudhuru kwa viongozi wa kamati tendaji ya wilaya amesema kuwa ameamua kujiudhuru kutokana na viongozi wa ngazi za juu kutotoa pesa za kuendesha ughuli za chama hischo hali ambayo amesema inachangia kudorora kwa maendeleo ya chama

Ameongeza kuwa anatoa ametoa siku saba kwa viongozi wa vyama mbalimbali wilayani humo kunmpelekea katiba zao ili kuweza kuchagua chama atakacho ingia na kuendelea na shughuli za ke za kisiasa

Kwaupande wake katibu wa chama hicho wilayani humo BW. Joseph Mbalindie amekili kupokea barua hiyo na kusema kuwa anasikitika na uamuzi alio ufanya mwenyekiti huyo na kusema kuwa wanajiandaa kumuchagua mwenyekiti mwingine

No comments:

Post a Comment