Sunday, May 5, 2013

HIKI NDICHO WALICHOKISEMA MKUU WA MKOA WA ARUSHA, RPC NA Mh. LEMA BAADA YA KUFIKA KWENYE KANISA LILILOLIPULIWA KWA BOMU...!


DSCN2227 
Hali ya eneo mlipuko ulipotokea
DSCN2220 
Waumini na wananchi wengine wakiwa na shauku ya kujua kilichotokea
DSCN2228 
Ulinzi umeimarishwa
DSCN2252
DSCN2246 
Wanasualama Mkoa wa Arusha, wakijadiliana jambo katika eneo la tukio
DSCN2282
DSCN2258 
 
 
Magesa Mulongo akiteta na RCO wa Mkoa wa Arusha
DSCN2273 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, magesa Mulongo akijiandaa kuzungumza na wananchi kanisani hapo na kuahidi kuwa Serikali itahakikisha watu wote waliohusika na jaribio hilo ovu, pamoja na mtandao wao wanakamatwa. Alidai pia vikosi vya Jeshi maalumu kwa kuchunguza milipuko vitafika eneo hilo ili kufanya uchunguzi. Taarifa za eneo la tukio zinaeleza kuwa tayari kuna mshukiwa mmoja ameshatiwa mbaroni na yuko mikononi mwa Jeshi la Polisi kwa mahojiano na uchunguzi zaidi.
DSCN2236 
Eneo lenye utepe ndipo kitu hicho kinachodhaniwa kuwa bomu kilipoangukia. Pichani unaweza kuona wigi za kichwani na viatu vya waumini vikiwa vimesambaa baada ya wenyewe kuviacha, miongoni mwao wakiwa ni majeruhi.
DSCN2251
DSCN2267 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magesa Mulongo akizungumza na mmoja wa mapadri wa Kanisa hilo kupewa maelezo ya kuhusu kilichotokea kanisani hapo.
DSCN2276
DSCN2255
DSCN2281

DSCN2222
DSCN2215
DSCN2218
DSCN2219 
 
 
 
 

Godbless Lema ambaye ni mbunge wa Arusha na ametembelea eneo la kanisa lililolipuliwa na bomu na kuwafariji wahanga wa tukio hilo. Akiongea kwa jazba na hasira na wananchi waliopo eneo la tukio, Lema ameitumu serikali kwa mara nyingine na kudai kuwa uzembe wa viongozi ndo chanzo cha matukio kama haya.

Hotuba fupi na nasaha zake zilikuwa zikisikika moja kwa moja kupitia Radio maria kabla ya kituo hicho kuamua kukatisha nasaha zake. Haijafahamika mara moja sababu za kukatishwa kwa hotuba yake.
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mulongo tayari amefika eneo ambalo ndio kanisa la katoliki lililolipuliwa na bomu lilipo na kuwafariji wahanga wa tukio la bomu.

RPC wa mkoa wa Arusha naye aliambatana na mkuu wa mkoa na muda huu alikuwa anatoa nasaha zake kwa wananchi. RPC ameeleza kuwa tukio hili ni la kigaidi. Katika maelezo yake, RPC amesema kuwa aliyehusika alijitokeza nyuma ya jengo kwa kujificha na kurusha bomu.

Amesema Polisi wanawasaka waliohusika na unyama huu na ameomba yeyote mwenye taarifa yoyote aisaidie polis. 


Waliojeruhiwa mpaka sasa ambao wapo katika hospitali ya mkoa  ya MOUNT MERU ni 42 .huku mmoja akiwa amefariki kutokana na mlipuko huo na alitambulika kwa jina la REGINA LONING’O KURESOI mkazi wa ORASITY JIJINI ARUSHA.

Kwa taarifa ambazo mjukuu wa tozo imezipata ni kwamba Mpaka sasa  mtu mmoja anashikiliwa  na  polisi kwa mahojiano  zaidi



 


 
 
 

HILI HAPA NDILO KANISA LENYEWE LILILOPIGWA BOMU LEO NA HALI INAVYOENDELEA SASA ENEO LA TUKIO, ARUSHA


Polisi wakijaribu kuchunguza eneo bomu lilipolipukia leo asubuhi wakati wa misa ya kuzindua kigango hicho.iliyo katika kata ya olasiti na parokia ya burka

eneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu ndipo kilipotua na kulipuka katika Kanisa la Mt Joseph Olasiti Arusha ambapo Balozi wa Papa alikuwa akihudhuria ibada ya Kuzindua Parokia kanisani hapo.... 
eneo lenye utepe ndipo kinachohisiwa kuwa bomu ndipo kilipotua na kulipuka katika Kanisa la Mt Joseph Olasiti Arusha ambapo Balozi wa Papa alikuwa akihudhuria ibada ya Kuzindua Parokia kanisani hapo....
Umati wa  wananchi wa mkoa wa Arusha wakiwa njiani kuelekea kuangalia ndugu na jamaa zao waliokuwamo kwenye ibada hiyo inasadikika majeruhi zaidi ya thelathini na watano wapo hospitali huku kukiwa hakuna taarifa ya vifo.
 Kanisa lililolipuliwa likiwa linaonekana kwa mbali huku wananch wakilitazama kwa mbali kutokana na tishio la kutokea kwa milipuko mingine ...Mtu mmoja  amekamatwa kuhusiana na tukio hilio wakati wengine wanasadikika kukimbia.
 Waumini  pamoja na baadhi ya wanacchi wakiwa katika hali ya taharuki  wasiamini nini kilichotokea  kutokana na mlipuko mkubwa  uliotokea asubuhi ya leo.
Polisi waki imarisha doria eneo la tukio   baada ya majeruhi kukimbizwa hospitali kupatiwa matibabu zaidi ...Mpaka tunaondoka eneo la tukio Viongozi mbali mbali akiwemo mmbunge wa arusha walikuwemo eneo hilo

Saturday, May 4, 2013

Mwenyekiti wa Nccr-Mageuzi ajiuzuru-ngara

Na Veronica Alfredi kutoka Ngara

Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha NCCR mageuzi wilayani Ngara Mkoani Kagara bw. Kenedi Staford juzi alitanagaza kiujiudhuru uanachamawa chama hicho ikiwa ni pamoja na nafasi zote za uongozi katika chama hicho

Akikabidhi barua ya kujiudhuru kwa viongozi wa kamati tendaji ya wilaya amesema kuwa ameamua kujiudhuru kutokana na viongozi wa ngazi za juu kutotoa pesa za kuendesha ughuli za chama hischo hali ambayo amesema inachangia kudorora kwa maendeleo ya chama

Ameongeza kuwa anatoa ametoa siku saba kwa viongozi wa vyama mbalimbali wilayani humo kunmpelekea katiba zao ili kuweza kuchagua chama atakacho ingia na kuendelea na shughuli za ke za kisiasa

Kwaupande wake katibu wa chama hicho wilayani humo BW. Joseph Mbalindie amekili kupokea barua hiyo na kusema kuwa anasikitika na uamuzi alio ufanya mwenyekiti huyo na kusema kuwa wanajiandaa kumuchagua mwenyekiti mwingine

Friday, May 3, 2013

Mitihani kidato cha nne 2012 kusahihishwa upya!Matokeo yafutwa.

Kutoka Bungeni Dodoma tunaarifiwa kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya mwaka,hatimaye serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo
Hii ni kwa mujibu wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughuliki a sera na uratibu, Mhe. William Lukuvi, akitoa maamuzi ya tume iliyoundwa na Waziri Mkuu Pinda ya kuchunguza matokeo hayo.
 Ni kutokana na tume kubaini makosa NECTA.
Grading system iliyotumika mwaka 2012 ni mpya,na sio iliyotumika 2011.
YAFUATAYO YAMEAMULIWA NA BARAZA LA MAWAZIRI
1.Matokeo yote ya kidato cha nne 2011 yamefutwa.
2.Standardization ifanyike,ili yapangwe upya kwa kuzingatia vigezo vifuatavyo:-
-Juhudi za wanafunzi
-mfumo wa mwaka 2011 ndio utumike
-Ongezeko kubwa la shule nchini
-ongezeko kubwa la wanafunzi
3.Baraza ni marufuku kufanya mabadiliko yoyote ya mfumo wa grading bila kujadiliana na kushirikisha wadau wengine.
4.Mfumo wa grading wa 2012 ufutwe haraka na ule wa 2011 ndio utumike.
TUME BADO INAENDELEA NA KAZI NA RIPOTI ZAIDI ITATOLEWA.




Thursday, May 2, 2013

YAWEZEKANA HII NDIO AJALI MBAYA ZAIDI MWEZI HUU HAPA NCHINI,VIBAKA WAKAMATWA WAKITAKA KUIBA..PICHA


..
Ajali ilitokea kwenye eneo la Mboga karibu na Chalinze, 
millardayo.com haijapata taarifa zozote za vifo 
ila abiria wengi wamejeruhiwa.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
..
..
.
.
.
.
.
Hawa walitaka kuibia majeruhi ila wakadakwa.
Kondakta wa basi ndio huyu ambae aliteguka kiuno ambapo kuna mama ambae mguu wake ulikatika.
Kondakta wa basi ndio huyu ambae aliteguka 
kiuno ambapo kuna mama ambae mguu wake ulikatika.
..
Hii taarifa ni kutoka kwa Ripota wa nguvu David Lusekelo.

Wednesday, May 1, 2013

MAANDAMANO YA WAFANYAKAZI JIJINI DAR ES SALAAM LEO KATIKA MEI MOSI




 Baadhi ya wafanyakazi kutoka Wizara mbalimbali za Serikali na Taasisi Binafsi wakiwa katika foleni wakijiandaa kuanza maandamano kuelekea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja kwa ajili ya kushiriki maadhimisho ya Sherehe za Mei Mosi, ambapo katika Sherehe hizo mgeni rasmi alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Saidick, huku sherehe hizo kitaifa zikifanyika Kitaifa Mkoani Mbeya, na Mgeni Rasmi huko ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.


Mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick, akiwa meza kuu na baadhi ya viongozi wengine wakati wakisimama kupokea maandamano hayo.
 Wafanyakazi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF, wakipita mbele ya jukwaa kuu na maandamano na mbwembwe za kucheza Kiduku, wakati wa sherehe hizo.
 Wafanyakazi wa TALGWU, wakipita mbele ya jukwaa kuu na Bango lenye ujumbe.
 Twiga Cement wao walikuwa wakipromoti bidhaa yao tu bila hata bango lenye ujumbe kuhusiana na sherehe hizo.
 Maandamano yakiendelea kupita mbele ya jukwaa kuu.
 Maandamano yakipita mbele ya jukwaa kuu........
 'Watenda Haki' wakipita na bango lao mbele ya jukwaa kuu......SOURCE:SUFIANMAFOTO BLOG

PICHA: Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani wilayani Ngara mkoani Kagera.

Mokhamed Khalfan akiwa na wanafunzi wake wa Chuo cha  Sekhasa Mining Mjini Ngara.

Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani Ngara mkoani Kagera wakiwa  katika maandamano ya Mei Mosi leo(May 01,2013)kuelekea uwanja wa Posta ya zamani mjini Ngara .

Afisa Elimu Msingi wilayani Ngara Simon Mumbee akiwa na Afisa Elimu Sekondari Julius Nestori wakielekea uwanja wa Posta ya Zamani tayari kwa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani.

Afisa Utamaduni na Micheza wilaya ya Ngara Said Salum  akiwa katika kuburudisha maandamano ya May Mosi wakielekea uwanja wa Posta ya Zamani tayari kwa maadhimisho  HAYO ya siku ya Wafanyakazi Duniani..

Wafunzi wa Sekhasa Miningi na Wafanyakazi wa serikali za mitaa wilayani Ngara wakielekea uwanja wa Posta ya Zamani tayari kwa maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi Duniani.

Wanafunzi wa shule ya Msingi Ngara mjini wakiwa katika maandamano ya Mei Mosi 2013.Picha zote na Shabani Nasibu Ndyamukama.




Katika Maadhimisho hayo ya Siku ya Wafanyakazi Duniani pamoja na mambo mengine , Serikali  imeombwa kutatua kero zinazowakabili wafanyakazi nchini  kwa kuboresha mazingira ya kazi sambamba na Mishahara .
Katibu wa TUCTA  wilayani Ngara Bw Vedasto Nsinde amesema serikali haina budi kupandisha mishahara kwa kima cha chini kuwa Shilingi Laki  tatu na elfu 15 kwa mwezi  ili kwenda sambamba na  upandaji wa gharama za Maisha ya sasa.

source mwana wa makonda