![]() |
| wachezaji wa cap verde wakifanya mazoezi kabla ya mechi ya ufunguzi |
Saturday, January 19, 2013
HII NDIO YANGA BWANA - HIVI NDIVYO ILIVYOWATANDIKA WASAUZI TAIFA LEO
Didier
Kavumbagu (kushoto) akijaribu kumtoka beki wa Black Leopards, wakati wa
Mchezo huo, uliomalizika hivi punde kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam.
Wachezaji wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete.
jj
Kikosi
cha Yanga.
Kikosi cha Black Leopards.
Mchezaji
wa Yanga, Kabange Twite (kushoto) akimiliki mpira huku akidhibitiwa na
beki wa Black Leopards, Nkosiabo Xakane, wakati wa mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga, wakishangilia bao lililofungwa na Jerry Tegete. (PICHA NA SUFIANI MAFOTO)
YANGA YAICHAPA BLACK LEOPARD YA BONDENI 3-2!
![]() |
| kabange twite akichuana na mchezaji wa black leopards |
WIMBI LA TEGETE KUCHEKA NA NYAVU LAMPA JINA “MTURUKI!”
Vinara wa Ligi Kuu Vodacom, Yanga, ambao
pia ndio Mabingwa wa Soka Afrika Mashariki na Kati, leo wakicheza Mechi
yao ya kwanza tangu warejee kutoka Antalya, Uturuki waliko piga Kambi
ya Mazoezi ya Wiki mbili, wameichapa Black Leopard ya Afrika Kusini Bao
3-2 katika Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki iliyochezwa Uwanja wa Taifa
Jijini Dar es Salaam.
![]() |
| hawa ni mashabiki wa yanga |
MAGOLI:
Yanga 3
-Tegete Dakika ya 32 & 73
-Domayo 63
Black Leopard 2
-Khoza Dakika ya 47
-Rodney 89
Nyota wa Mechi hii alikuwa Jerry Teget
aliefungia Yanga Bao 2 akiendeleza wimbi la kufunga aliloanza huko
Uturuki kati Mechi za kujipima nguvu kiasi ambacho Washabiki wa Yanga
wameanza kumpachika Jina ‘Mturuki!’.
KIKOSI cha YANGA:
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athumani Idd 'Chuji'
7.Kabange Twite
8.Frank Domayo
9.Didier Kavumbagu
10.Jerson Tegete
11.Haruna Niyonzima
Akiba:
1.Said Mohamed
2.Godfrey Taita
3.Stephano Mwasika
4.Ladislaus Mbogo
5.Shadrack Nsajigwa
6.Nurdin Bakari
7.Saimon Msuva
8.Omega Seme
9.Said Bahanuzi
10.George Banda
11.David Luhende
12.Rehani Kibingu
13.Nizar Khalfani
14.Juma Abdul
Liverpool kumsaini Mbrazil, Zaha Jumatatu ni Man au Arsenal, Big Sam kwa Pilato!!
Klabu
ya Liverpool iko mbioni kumsaini Chipukizi wa Barazil Philippe Coutinho
huku hatima ya Kinda wa Crystal Palace, Wilfried Zaha, kujulikana
Jumatatu na Meneja wa West Ham, Sam Allardyce, amefunguliwa mashitaka na
FA, Chama cha Soka England, kwa kukiuka Kanuni kufuatia kauli yake
dhidi ya Refa aliechezesha Mechi yao na Manchester United.
Liverpool na Mbrazil
Liverpool wako mbioni kusaini Mchezaji
wao wa Pili katika Dirisha hili la Uhamisho la Mwezi Januari baada ya
kutoa Ofa ya Pauni Milioni 8 kumchukua Kiungo wa Inter Milan Philippe
Coutinho.
Coutinho, Miaka 20, ambae ameichezea
Brazil mara moja na alichukuliwa na Inter Milan akiwa na Miaka 16 tu na
kubaki kwao Brazil kwa Mkopo hadi 2010 ambako ndio alitua Inter Milan na
kucheza Mechi 28 lakini Msimu uliopita alipelekwa Spain kuchezea
Espanyol kwa Mkopo.
Mchezaji mwingine alienunuliwa na
Liverpool hii Januari ni Straika kutoka Chelsea Daniel Sturridge
aliechukuliwa kwa Dau la Pauni Milioni 12.
Zaha
Crystal Palace > Arsenal au Man United
Habari za ndani zimedokeza kuwa Uhamisho
wa Wilfried Zaha wa Crystal Palace kwenda Manchester United au Arsenal
utajulikana mwanzoni mwa Wiki ijayo.
Ingawa Man United ndio inayopewa nafasi
kubwa kumchukua Kinda huyo, hasa baada ya Mtendaji Mkuu wa Klabu hiyo,
David Gill, kukiri kuwa wamekuwa wakimfuatilia, lakini pia Arsenal
wamekuwa wakimwinda.
Hata akiuzwa kwa sasa, Crystal Palace
imekuwa ikisisitiza kipengele cha kubaki na Mchezaji huyo hadi mwishoni
mwa Msimu ili awasaidie kuwapandisha Daraja.
Frazier
Sunderland > Cardiff City
Fraizer Campbell yupo mbioni kukamilisha Uhamisho wa £600,000 kutoka Sunderland kwenda Cardiff City.
Straika huyo wa zamani wa Manchester
United ambae ameichezea England mara moja amekuwa akiandamwa na tatizo
la Goti baada ya kuumia vibaya mara mbili katika Goti hilo hilo moja
ambalo limemfanya kiwango kushuka.
Meneja wa Sunderland, Martin O'Neill,
anategemewa kumnunua Danny Graham kutoka Swansea kwa Pauni Milioni 5 ili
kumbadili Frazier Campbell.
M'Vila
Rennes > QPR
Kiungo huyo wa Klabu ya Rennes ya France
ambae anathaminiwa kwa Pauni Milioni 7 anawindwa na Meneja wa QPR Harry
Redknapp lakini pia zipo Klabu nyingine zinazomwandama.
Akiongea kuhusu Yann M'Vila, Loïc Rémy amesema: "Ningependa aje QPR tuwe pamoja. Nishamwambia hapa ni pazuri."
Sam Allardyce ashitakiwa na FA
Meneja wa West Ham Sam Allardyce
amefunguliwa Mashitaka ya Utovu wa Nidhamu na FA, Chama cha Soka
England, kufuatia kauli yake mara baada ya Timu yake Jumatano iliyopita
kufungwa Bao 1-0 na Manchester United na kutupwa nje ya FA CUP.
Alardyce alidai uamuzi wa kuwanyima
Penati Uwanjani Old Trafford na kuwapa Man United Penati ni sababu ya
kucheza Uwanja wa Nyumbani.
Hata hivyo Penati waliyopewa Man United
ilipaishwa na Straika Wayne Rooney. Allardyce amepewa hadi Januari 23
kujibu Mashitaka hayo.
Penati ambayo West Ham wanaidai ni pale Fulbeki Rafael alipokontroli mpira na Paja na kisha kumgonga Mkononi.
Allardyce alikaririwa akisema: “Unaona
kila mara Old Trafford! Hamna tofauti kati ya kushika kwa Rafael na
Jordan Spence. Ila Spence anachezea West Ham, Timu ya ugenini na Rafael
ni Mchezaji wa nyumbani Old Trafford.”
Taarifa ya FA imesema: “Shitaka hili linahusiana na kuvunjwa kwa Kanuni ya FA E3.”
CHANZO SOKA IN BONGO
VPL: KUANZA JANUARI 26, KUWEPO ‘SUPER WEEK ya SUPERSPORT’
UCHAGUZI TFF: 36 WACHUKUA FOMU, 18 WAREJESHA
Mzunguko wa pili ya Ligi Kuu ya Vodacom
utaanza Januari 26 huku kukiwa na maombi ya televisheni ya SuperSport
kuonyesha Mechi za Super Week kama ilivyokuwa katika mzunguko wa kwanza.
KWA TAARIFA ZAIDI:
Release No. 06
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Januari 17, 2013
36 WACHUKUA FOMU TFF, 18 WAREJESHA
Wakati kesho ndiyo mwisho wa kuchukua na
kurejesha fomu za kuwania uongozi kwenye uchaguzi wa Shirikisho la
Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPL Board)
waombaji 36 wameshachukua na 18 tayari wamesharejesha.
Idadi hiyo ni kufikia leo mchana
(Januari 17 mwaka huu). Pia Kamati ya Uchaguzi ya TFF inasisitiza kuwa
wanaorejesha fomu hizo kwa email wanatakiwa kuzituma kwa Katibu Mkuu wa
TFF kwa email ya
tfftz@yahoo.com na si kwa email binafsi za wajumbe wa Kamati ya Uchaguzi au maofisa wa TFF.
Waombaji wanne walioongezeka katika
orodha ni Blassy Kiondo kwa Kanda ya Katavi na Rukwa, Eliud Mvella
(Mbeya na Iringa), Geofrey Nyange (Morogoro na Pwani), na Omari
Abdulkadir kwa Kanda ya Dar es Salaam.
Orodha kamili ya waombaji ni Athuman
Nyamlani, Jamal Malinzi na Omari Mussa Nkwarulo (urais) wakati waombaji
wa umakamu wa rais mpaka sasa ni Michael Wambura, Ramadhan Nassib na
Wallace Karia.
Kwa upande wa wajumbe wa Kamati ya
Utendaji na kanda zao kwenye mabano ni Salum Chama (Kagera na Geita),
Mugisha Galibona, Samuel Nyalla, Titus Osoro na Vedastus Lufano (Mara na
Mwanza).
Epaphra Swai na Mbasha Matutu (Shinyanga
na Simiyu), Charles Mugondo na Elly Mbise (Arusha na Manyara), Yusuph
Kitumbo (Kigoma na Tabora), Ayubu Nyaulingo, Blassy Kiondo, Nazarius
Kilungeja na Selemani Kameya (Katavi na Rukwa) na James Mhagama (Njombe
na Ruvuma).
Athuman Kambi na Zafarani Damoder (Lindi
na Mtwara), Hussein Mwamba na Stewart Masima (Dodoma na Singida), Farid
Nahdi, Geofrey Nyange na Twahili Njoki (Morogoro na Pwani), Elias
Mwanjala na Eliud Mvella (Iringa na Mbeya), Khalid Mohamed (Kilimanjaro
na Tanga) na Muhsin Balhabou, Omari Abdulkadir na Shaffih Dauda (Dar es
Salaam).
Kwa upande wa Bodi ya Ligi Kuu (TPL
Board) waliochukua fomu mpaka sasa ni wawili tu. Yusuf Manji amechukua
fomu ya uenyekiti wakati Said Mohamed amechukua fomu ya kuwania umakamu
mwenyekiti.
SUPER WEEK TENA NDANI YA LIGI KUU YA VODACOM
Mzunguko wa pili ya Ligi Kuu ya Vodacom
utaanza Januari 26 mwaka huu huku kukiwa na maombi ya televisheni ya
SuperSport kuonesha mechi za Super Week kama ilivyokuwa katika mzunguko
wa kwanza.
Raundi tano za awali katika ratiba ya
mzunguko wa pili zinabaki kama zilivyo wakati nyingine zilizobaki
zitatolewa baada ya kuingiza mechi za Super Week.
Wakati huo huo, mzunguko wa pili wa Ligi
Daraja la Kwanza unatarajia kuanza Januari 26 mwaka huu. Ratiba ya ligi
hiyo na tarehe rasmi ya kuanza itatangazwa baada ya kupitiwa na Kamati
ya Ligi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inayotarajiwa
kukutana mwishoni mwa wiki.
Boniface Wambura
Ofisa Habari
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
VPL: RATIBA:
RAUNDI YA PILI
26 JAN 2013 - 18 MEI 2013
Januari 26
African Lyon v Simba [National Stadium, Dar es Salaam]
Mtibwa Sugar v Polisi Morogoro [Manungu, Morogoro]
Coastal Union v Mgambo JKT [Mkwakwani, Tanga]
Ruvu Shootings v JKT Ruvu [Mabatini, Pwani]
Azam v Kagera Sugar [Azam Complex, Dar es Salaam]
JKT Oljoro v Toto Africans [Sheikh Amri Abeid, Arusha]
Januari 27
Yanga v Tanzania Prisons [National Stadium, Dar es Salaam]
Friday, January 18, 2013
VAN PERSIE ANAVYOIBEBA MAN UNITED...
On Thursday Manchester United boss Sir
Alex Ferguson insisted that his side were not a one-man team and wholly
reliant on hot shot Robin van Persie.
And now he has the stats to back it up
as Sportsmail and Opta can reveal that United have a larger number of
different goalscorers than any other club in the Barclays Premier
League.
United lead the pack with 16 different scorers, ahead of Chelsea and Manchester City who have 14 and 13, respectively.

One man team? Sir Alex Ferguson insists
that Manchester United are not wholly reliant on free-scoring striker
Robin Van Persie (pictured)


Playing their part: Wayne Rooney (left) has seven Premier League goals and Javier Hernandez (right), eight
UNITED'S PL GOALSCORERS
Robin van Persie - 17
Javier Hernandez - 8
Wayne Rooney - 7
Patrice Evra - 4
Jonny Evans - 3
Tom Cleverley - 2
Shinji Kagawa - 2
Rafael - 2
Anderson - 1
Alexander Buttner - 1
Darren Fletcher - 1
Nani -1
Nick Powell - 1
Paul Scholes - 1
Nemanja Vidic - 1
Danny Welbeck - 1
Javier Hernandez - 8
Wayne Rooney - 7
Patrice Evra - 4
Jonny Evans - 3
Tom Cleverley - 2
Shinji Kagawa - 2
Rafael - 2
Anderson - 1
Alexander Buttner - 1
Darren Fletcher - 1
Nani -1
Nick Powell - 1
Paul Scholes - 1
Nemanja Vidic - 1
Danny Welbeck - 1
Liverpool, Spurs and West Ham are adept
at spreading the goals around with 12 each, Norwich have 11, and Reading
and Southampton have ten each.
Arsenal, Everton, Suderland,West Brom
and Wigan will need to show improvement as they have just nine but five
clubs, Aston Villa, Newcastle, QPR, Stoke and Swansea, are at the foot
of the table with only eight different goalscorers.
The importance of Michu to the Swans,
who has 13 of his team's 31 goals is underlined, while Harry Redknapp
will be hoping £8million Loic Remy will bring QPR the goalscoring they
have so desperately needed.
The eight players who have scored for
Redknapp's side only have 17 goals between them, Adel Taarabt leads the
charts with just four.
Though the 29-year-old Dutchman has 21
goals this season, Ferguson is not worried that losing Van Persie would
mean United are a shadow of themselves.
'I don’t go along with the idea we have become a one-man team,' he told United Review.
'There was a time in our history when one man did carry us for a while.
'Eric Cantona kept us in contention with his goals when a few others were off the boil.
'But things are quite different now. Javier Hernandez has weighed in with 12 goals while Wayne Rooney is currently on nine.
'Two defenders, Johnny Evans and Patrice
Evra, have chipped in with eight between them, while opposition players
have gifted three own goals to the league leaders.
'So it doesn’t stand up to see us as a
one-man band overly dependent on Van Persie, brilliant as he has been at
both making and taking goals.'

Spreading the goals: Ferguson's
(pictured) team have 16 different goalscorers in the league this season,
more than any other team

Important goals: Patrice Evra (right) has chipped in with four goals from left-back this season
Ferguson, however, does agree with his
rival Manchester manager, Roberto Mancini, who said that Van Persie is
making the difference this season.
'He is absolutely relishing his new challenge,' he said. 'He is the right player, at the right club, at the right time.
'He has a winning mentality, but as he
points out, it is one that goes right through the squad and one that
will hopefully see us push on in both league and the cups and
successfully navigate what is a busy and challenging period.'
United face Tottenham at White Hart Lane on Sunday.

Thriller: Spurs' Clint Dempsey (pictured) scores the winning goal during the 3-2 thriller at Old Trafford earlier this season
More...
Read more: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2264478/Manchester-United-man-team.html#ixzz2IKwyMcSz
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
WALCOTT AMALIZA MASHAKA ARSENAL, ASAINI MKATABA MPYA HADI 2016 NA MSHAHARA MNONO
Theo Walcott has urged his Arsenal
team-mates to end their eight-year trophy drought after the striker
finally signed a £100,000-a-week deal, keeping him at the club until
2016.
After lengthy negotiations, the England
forward agreed a lucrative three-and-a-half year deal at the Emirates,
including a £3million signing on fee.
The 23-year-old joined fellow young
Britons Jack Wilshere, Kieran Gibbs, Carl Jenkinson, Aaron Ramsey and
Alex Oxlade-Chamberlain, who all signed five-year extensions last
month.

All smiles: Theo Walcott has finally put pen to paper on a new deal at the Emirates

Handy men: Walcott (right) and Arsene Wenger shake on it after the striker signs
After ending any speculation that he
would leave the club, Walcott said: 'I am very happy to have signed a
new contract here at Arsenal.
'Thanks to everyone for their continued support, especially the manager, everyone at the club and most importantly the fans.
'I have made it clear from the start
that I wanted to stay at Arsenal so I am pleased we have agreed a deal
that everyone is happy with.
'What’s important now is for the team to realise its potential and win trophies.'
Arsenal manager Arsene Wenger was delighted to have secured the services of Walcott.
He added: 'Theo is a strong player and
also a great person, and the combination of his ability and pace always
make him such a valuable asset either from the flanks or down the
middle.
'Theo’s contract extension now gives us a
strong nucleus of ambitious young players who have committed to the
Club and want to be successful with us as a group.'
Walcott was expected to agree a deal
sooner, but he baulked at £75,000 per week in August as he held out for a
contract closer to £100,000.
Wenger has seen some of his brightest talents leave the Emirates in the past two summers.
Cesc Fabregas, Samir Nasri, Alex Song
and the Premier League's leading goalscorer this season Robin van Persie
have all departed and the Frenchman was desperate to keep Walcott on
board.

Congratulations: Walcott with team-mates Alex Oxlade-Chamberlain (left) and Wojciech Szczesny (right)

On alert: Arsene Wenger was concerned that another of his prized assets would leave the club

Problem solved: Arsene Wenger managed to convince Walcott to stay at the club


Crisis averted: Samir Nasri (left) moved to Manchester City and Cesc Fabregas (right) left for Barcelona in 2011
The Frenchman had said that he was '99 per cent' certain that Walcott would agree terms before the weekend.
Yesterday, he told The Sun: 'I hope it will be signed before the weekend. There is a possibility. My optimism is at 99 per cent now.'
Walcott joined the Gunners in 2006, when Wenger signed the 16-year-old Southampton academy graduate.
The Englishman is Arsenal's top scorer this campaign with 14 goals in all competitions.

Big loss: Robin van Persie left Arsenal last summer for Manchester United
Subscribe to:
Posts (Atom)








