Wednesday, August 1, 2012

Ngassa atua rasmi SimbaMshambuliaji wa Taifa Stars Mrisho Ngassa amesajiliwa na wekundu wa msimbazi Simba kwa mkataba wa miaka miwili toka Klabu yake ya zamani Azam FC hivyo kumaliza uvumi kuwa alikuwa anajiandaa kutua Jangwani.

Azam wamefikia uwamuzi wa kumuuza Ngassa kwa kile walichokiita mapenzi ya dhati aliyonayo na klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam.

nitakuletea taarifa zaidi za habari hii

No comments:

Post a Comment