Na Veronica Alfredi kutoka Ngara
Aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha NCCR mageuzi
wilayani Ngara Mkoani Kagara bw. Kenedi Staford juzi alitanagaza
kiujiudhuru uanachamawa chama hicho ikiwa ni pamoja na nafasi
zote za uongozi katika chama hicho
Akikabidhi barua ya
kujiudhuru kwa viongozi wa kamati tendaji ya wilaya amesema
kuwa ameamua kujiudhuru kutokana na viongozi wa ngazi za juu
kutotoa pesa za kuendesha ughuli za chama hischo hali ambayo
amesema inachangia kudorora kwa maendeleo ya chama
Ameongeza
kuwa anatoa ametoa siku saba kwa viongozi wa vyama
mbalimbali wilayani humo kunmpelekea katiba zao ili kuweza
kuchagua chama atakacho ingia na kuendelea na shughuli za ke
za kisiasa
Kwaupande wake katibu wa chama hicho
wilayani humo BW. Joseph Mbalindie amekili kupokea barua hiyo
na kusema kuwa anasikitika na uamuzi alio ufanya mwenyekiti
huyo na kusema kuwa wanajiandaa kumuchagua mwenyekiti mwingine
No comments:
Post a Comment